UWANJA WA AMAAN RUKSA KUTUMIKA LIGI KUU – MWANAHARAKATI MZALENDO

”kanuni zilikuwa haziruhusu kwa sababu ligi kuu ya NBC ilikuwa inapaswa kuchezwa kwa viwanja ambavyo vinapatikana Tanzania Bara na sio Zanzibar”

”kamati imepitisha kanuni za msimu 2024/2025 kwamba timu yeyote ya Tanzania Bara ikiamua kutumia uwanja wake wa Nyumbani kule kisiwani Unguja (Uwanja wa New Amaan Complex ama Gombani kule Pemba ni ruksa”-

Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu-Almasi Kasongo akizungumzia timu za Ligi Kuu NBC kutumia Viwanja vya Zanzibar

#KonceptTvUpdates

Related Posts