ZIARA YA DKT. NCHIMBI YAPIGA HODI KAGERA

Mapokezi ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiwa ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) – Oganaizesheni, Issa Haji Usi Gavu, Katibu wa NEC – Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Katibu wa NEC – Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Rabia Hamid Abdallah, akipokelewa eneo la Nyakanazi, Biharamulo, mkoani Kagera, tayari kuanza ziara ya siku 6 mkoani humo, akiwa ametokea Mkoa wa Kigoma, ambako amehitimisha ziara ya siku 3 kwa kuzungumza na wananchi katika maeneo ya Kibondo na Kakonko, leo Jumanne, Agosti 6, 2024.

Related Posts