Rais Samia azindua kiwanda cha sukari cha Mkulanzi Morogoro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi kwenye Uzinduzi wa Kiwanda Cha Sukari Cha Mkulazi kilichopo Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro akihitimisha Ziara yake Mkoani humo leo August 07,2024.

The post Rais Samia azindua kiwanda cha sukari cha Mkulanzi Morogoro first appeared on Millard Ayo.

Related Posts