Chuo Kikuu Mzumbe kinaendelea kuwakaribisha wananchi wa Mikoa ya Kanda ya Kati kutembelea Banda la Chuo hicho katika maonesho ya Kilimo ya Kimataifa (Nanenane) 2024
Day: August 9, 2024
Dar es Salaam. Mawakala wa meli Tanzania wametaja kero tatu zinazowatatiza katika shughuli zao ikiwemo gharama kubwa ya usafirishaji wa mizigo kwa njia ya barabara.
Mwanza. Baadhi ya vyama vya siasa mkoani Mwanza, vimeiomba Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuangalia uwezekano wa kugharamia posho kwa ajili ya mawakala
Na Mwandishi Wetu ,Manyara . Kampuni ya Mati Super Brands Limited inayozalisha vinywaji changamshi kupitia kinywaji chake pendwa cha Tanzanite Premium Vodka imedhamini Maonesho
Misenyi. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amemkaribisha Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu kujiunga na chama
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), pamoja na Manaibu wake, Mhe. Cosato Chumi (Mb.), Naibu
Moshi. Wakati Mchungaji Kantate Munis (42) akizikwa katika usharika wa Kisamo Old Moshi, Wilaya ya Moshi, Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili
Dar es Salaam. Licha ya kuwepo kwa mwamko wa wananchi kujenga nyumba kupitia fedha zao za mfukoni, hali inaonyesha kuwa huwachukua wastani wa miaka kumi
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti leo wamekagua utekelezaji wa mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) katika kituo
Dar es Salaam. Hatimaye Jeshi la Polisi limevunja ukimya kuhusu tukio la msichana kubakwa na kulawitiwa na vijana watano waliodai kutumwa na afande, likieleza kuwakamata