Abdi aongoza maandamano kuelekea kijana na kijani

Leo hii yamefanyika matembezi yakiokatiza kona na Barabara za Zanzibar yakianzia Ofisi ya Ccm Mkoa wa Mjini na Kuelekea Ofisi za Makao makuu ya Umoja wa Vijana Ccm Zanzibar ambapo Vijana wa Ccm wakiongozwa na Naibu Katiku Mkuu Ccm Zanzibar Abdi Mahamoud Abdi walitembea wakiwa wa wananchi na Vijana wa Ccm Zanzibar

Matembezi hayo ni kuelekea Kampeni ya Ccm ya Kijana na Kijani yenye lengo la kuujaza Uwanja wa Amaan kwa kuwasikiliza Viongozi wa Ccm kampeni ambayo inatarajiwa kufanyika kesho katika Uwanja wa New Amaan Complex na kudhuriwa na Makamo Mwenyekiti wa Ccm ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi

Related Posts