VODACOM YATANGAZA WASHINDI WA DROO YA PILI YA KAMPENI NI BALAA! – MWANAHARAKATI MZALENDO

Ni Balaa! Kila Mtu ni Mshindi! Meneja Mauzo Mwandamizi wa Vodacom Tanzania Plc, Kanda ya Ziwa Victoria Ngoya (kushoto), akimkabidhi mfano wa hundi ya TZS 500,000/- mshindi wa droo ya pili ya kampeni ya ‘Ni Balaa!, Neema Melkizedeki Mmari (katikati) katika kilele cha maadhimisho ya Nane Nane yaliyofanyika jijini Mwanza mnamo 8 Agosti, 2024.

Endelea kufanya miamala ya kupitia M-Pesa nawe uwe mshindi! Ni Balaa…No alt text provided for this image

Hii ‘Ni Balaa! Meneja Mauzo wa Vodacom Tanzania Plc Mkoa wa Mwanza Gift Tesha akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi 500,000/- mshindi wa droo ya pili ya kampeni ya ‘Ni Balaa!, Sarah Zakayo (katikati) kwenye kilele cha maadhimisho ya sikukuu ya Nane Nane yaliyofanyika jijini Mwanza mnamo 8 Agosti, 2024.

Ni Zamu Yako! Fanya miamala kupitia M-Pesa uwe Mshindi

Related Posts