Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya amezungumzia umuhimu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), kushirikiana na wananchi kulinda hifadhi za barabara na hivyo kuwezesha
Day: August 10, 2024
Na MWANDISHI wetu Dodoma MKURUGENZI wa Karibu Tanzania Organisation (KTO), Maggid Mjengwa amesema kuwa wameweza kuwafikia vijana wapatao Elfu 17 hapa Nchini katika zao za
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv MFUKO wa uwekezaji wa Faida Fund kwa kipindi cha Mwaka mmoja umevuka malengo ambayo uliwaahidi wanachama wake ya kuwa mfuko
Dar es Salaam. Mfuko wa Uwekezaji wa Faida Fund umeripoti ongezeko la faida kwa wawekezaji, kutoka asilimia 10 ya Juni 20, 2023, hadi asilimia 12
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kushiriki sherehe za uapisho wa Rais mteule wa Rwanda, Paul Kagame. Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Agosti 10,
TANZANIA imeahidi kukamilisha mchango wake wa mwaka katika Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na kuzisisitiza nchi nyingine wanachama kufanya hivyo ili kuiwezesha Jumuiya
Unguja. Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC), Profesa Joseph Msambichaka amesema uamuzi wa Serikali kujenga ofisi na maabara Zanzibar utasaidia
Unguja. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud amesema ipo haja kwa Tanzania kuweka mkazo maalumu wa kuzitumia ipasavyo fursa za kiuchumi zilizopo
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB) Saddy Kambona akizungumza na Waandishi wa Habari (Hawapo pichani) Bodi ya Mkonge kuhusiana Bodi hiyo kuanzisha mradi