Manchester Derby ya maokoto leo

 

Manchester Derby itapigwa leo katika dimba la Wembley wakifungua rasmi pazia la msimu mpya wa 2024/25 kupitia mchezo wa Ngao ya hisani ambao unakutanisha bingwa wa ligi kuu ya Uingereza na bingwa wa kombe la Fa.

Manchester City ambao walikua mabingwa wa ligi kuu ya Uingereza msimu jana ambapo Manchester United walikua mabingwa wa kombe la Fa wakiwafunga Manchester City.

Mchezo wa leo utakua wenye ushindani mkubwa kwakua Manchester City watahitaji kulipiza kisasi cha kupoteza katika mchezo wa mwisho wa fainali ya Fa, Huku Man United nao wakihitaji kuuanza msimu vizuri kwa kushinda Ngao ya hisani.

Bashiri michezo mbalimbali ambayo imepewa ODDS BOMBA pale Meridianbet wikiendi hii Bila kusahau kucheza michezo ya Kasino uibuke mshinde wa Mamilioni

Manchester Derby leo imefanikiwa kupewa Odds nzuri pale Meridianbet kwani Man United wamepewa Odds bomba halikadhalika Man City, Hii inakupa fursa wewe mteja wa kushinda maokoto ukiweka jamvi lako kupitia mchezo huu.

Ikumbukwe mchezo wa mwisho wa Ngao ya hisani vilabu hivo vilipokutana ilikua mwaka 2011, Ambapo Man United ilifanikiwa kushinda kwa mabao matatu kwa moja hivo swali kubwa ni je City watakubali kuendeleza uteja mbele ya Man United?

About The Author

Related Posts