Mbeya. Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limethibitisha kuwashikilia na kuwahoji viongozi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wapatao 520 na kuwaachia huru
Day: August 12, 2024
Dar es Salaam. Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA) kimesema ulaji hafifu shuleni utachangia watoto kukosa akili ya maisha na kujikwamua kutoka katika umaskini pale watakapokuwa
Dar es Salaam. Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA) kimesema ulaji hafifu shuleni utachangia watoto kukosa akili ya maisha na kujikwamua kutoka katika umaskini pale watakapokuwa
Dar es Salaam. Kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuwataka wananchi wanaoidai Serikali fidia baada ya kupitiwa na miradi kusubiri mpaka itakapokamilika, imewaibua mawakili
Dar es Salaam. Mhariri wa Afya wa Gazeti la Mwananchi, Herieth Makwetta amesema uchunguzi uliofanywa na Mwananchi kati ya Februari mpaka Machi 2024, ulibaini wanafunzi
Dar es Salaam. Ubaguzi kwa watu wenye ulemavu katika jamii unatajwa kama moja ya sababu inayofanya kundi hilo kushindwa kunufaika na fursa mbalimbali za kiuchumi
Dodoma. Tanzania inatarajia kuanza utekelezaji wa mradi wa kuwawezesha wakulima wadogo unaolenga kuimarisha usalama na ustahimilivu wa athari za mabadiliko ya tabianchi, ili kuhakikisha usalama
Mbunge wa Viti Maalum UWT (watu wenye ulemavu), Stella Ikupa kulia akizungumza na watu wenye ulemavu katika kongamano lililofanyika jijini Dar es Salaam leo Agosti
Bukoba. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera limewakamata watu watano kwa tuhuma za wizi wa injini 12 za mitumbwi ndani ya Ziwa Victoria. Injini hizo
Dar es Salaam. Hofu ya kilichotokea nchini Kenya na Bangladesh, ni moja ya mambo yanayotajwa kulisukuma Jeshi la Polisi nchini Tanania, kuliwekea vikwazo Baraza la