MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA USAJILI BARANI AFRIKA

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akizungumza na Viongozi na Wafanyakazi wa Afisi ya Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar, wadau wa Maendeleo na Wananchi waliohudhuria katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Usajili Barani Afrika yaliyofanyika katika Ukumbi wa Michenzani Mall Wilaya ya Mjini Unguja.

Imetolewa na Kitengo cha Habari (OMPR)
Tarehe 12.08.2024.

Related Posts