WAZIRI MKUU ATETA NA MAKAMU WA RAIS WA CUBA – HAVANA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu wa Rais wa Cuba, Mheshimiwa Salvador Valdes  Mesa kabla ya mazungumzo yaliyofanyika Revolutionary Square, Havana nchini Cuba, Julai 13, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Makamu wa Rais wa Cuba, Mheshimiwa Salvador Valdes  Mesa, Revolutionary Square, Havana nchini Cuba, Julai 13, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na ujumbe wake (kushoto) akizungumza na Makamu wa Rais wa Cuba, Mheshimiwa Salvador Valdes  Mesa, Revolutionary Square, Havana nchini Cuba, Julai 13, 2024 . Kulia kwa Waziri Mkuu ni Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi  Makamu wa Rais wa Cuba, Mheshimiwa Salvador Valdes  Mesa zawadi ya picha inayoonyesha nyumbu wanaovuka mto Mara kaaika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, baada ya mazungumzo yaliyofanyika Revolutionary Square, Havana nchini Cuba, Julai 13, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Makamu wa Rais wa Cuba, Mheshimiwa Salvador Valdes  Mesa, Revolutionary Square, Havana nchini Cuba, Julai 13, 2024.  Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Related Posts