FIFA YAIFUNGULIA BIASHARA UNITED KUSAJILI – MWANAHARAKATI MZALENDO

Shirika la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeiondolea Kla bu ya Biashara United ahabu ya kufungiwa kusajili wachezaji baada ya klabu hiyo kumamilisha malipo ya mchezaji aliyekuwa akiidai.

Mchezaji raia wa Uganda Matthew Odongo alikuwa akiidai malimbikizo ya mishahara.

Awali mchezaji huyo alifungua kesi FIFA dhidi ya klabu hiyo ya Ligi ya NBC championship akidai malimbikizo hayo ya mishahara.

#KonceptTvUpdatesInaweza kuwa picha ya soka, kandanda na maandishi yanayosema 'Karume Tanzania Football Federation FIFA, Stadium, Fax; +255-22-2182031 TAARIFA Shirikisho Kimataifa Mpira wa Miguu (FIFA) limeiondolea Biashara United Mara FC adhabu kufungiwa kusajili wachezaji baada klabu hiyo kukamilisha malipo mchezaji aliyekuwa akiidai. Mchezaji huyo raia wa Uganda, Matthew Tayo Odongo alikuwa akidai malimbikizo ya mishahara. Awali mchezaji huyo alifungua kesi malimbikizo hayo mishahara. dhidi Alishinda huo Ligi ambapo Biashara United Mara FC ilitakiwa kumlipa ya haikufanya kusababisha kusajili. Championship akidai Baada kukamilisha malipo hayo, Shirikisho Biashara United kufanya uhamisho uamuzi Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) nalo limeifungulia ndani wa wachezaji. Cliford Mario Ndimbo Agosti Secretary: Kidao Wilfred, Email: azamtv'

Related Posts