RAIS SMIA KUHUDHURIA MKUTANO WA 44 WA SADC, ZIMBABWE – MWANAHARAKATI MZALENDO

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania , Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kuhudhuria mkutano wa 44 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) utakaofanyika tarehe 17 Agosti 2024 mjini Harare, Zimbabwe.

Rais Dkt Samia anatarajia kuondoka leo tarehe 15 Agosti 2024 kuhudhuria mkutano huo wenye kauli mbiu: Kukuza Ubunifu ili Kufungua Fursa za Ukuaji wa Uchumi na Maendeleo endelevu kuelekea SADC yenye Viwanda.

#KoncptTvUpdates

Inaweza kuwa picha ya maandishi

Related Posts