Rais Mwinyi kuyaongoza mapokezi ya ndege mpya Boeng B787-8 Dreamliner

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika mapokezi ya ndege mpya Jumatatu ijayo, tarehe 19 Agosti 2024.

 

Ndege hiyo mpya aina ya Boeing B787-8 Dreamliner inatarajiwa kuwasili Zanzibar kwa mara ya kwanza katika Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume.

Related Posts