CHUO KIKUU MZUMBE KUSHIRIKIANA NA CHUO KIKUU BONN – MWANAHARAKATI MZALENDO

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. William Mwegoha (kulia) na Prof. Detflef Mueller-Mahn kutoka Chuo Kikuu cha Bonn (kushoto)baada ya Kutia Saini ya Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano kati ya Chuo Kikuu Mzumbe na Chuo Kikuu cha Bonn hivi karibuni Mkoani Morogoro.ImageMakamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. William Mwegoha (kulia) akikabidhi zawadi ya kumbukumbu kwa Prof. Detflef Mueller-Mahn kutoka Chuo Kikuu cha Bonn (kushoto) baada ya Hafla ya Utiaji Saini wa Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano kati ya Chuo Kikuu Mzumbe na Chuo Kikuu cha BonnImagePichani ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Muzmbe Prof. William Mwegoha (wa kwanza kulia), Prof. Detflef Mueller-Mahn kutoka Chuo Kikuu cha Bonn (Katikati) na baadhi ya viongozi wa Chuo Kikuu Mzumbe baada ya Hafla ya Utiaji Saini wa Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano kati ya Chuo Kikuu Mzumbe na Chuo Kikuu cha BonnImageMkurugenzi wa Kitengo cha Ukimataifaji na Baraza la Wahtimu Chuo Kikuu Mzumbe Dkt. Lucy Massoi akizungumza wakati wa Hafla ya Utiaji Saini wa Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano kati ya Chuo Kikuu Mzumbe na Chuo Kikuu cha Bonn

#KoneptTvUdates

Related Posts