MABORESHO YA MITA ZA LUKU KWA WATEJA WA KANDA YA KATI NA KANDA YA KASKAZINI

Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Bi. Irene Gowelle akizungumza  na waandishi wa habari kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Mha Gissima Nyamo-Hanga kutoa taarifa ya zoezi la Maboresho ya mfumo wa LUKU kwa wateja wa Kanda ya Kati na Kaskazini ambapo zoezi hilo  litaanza rasmi kwenye mikoa hiyo tarehe 26 Agosti, 2024.

Related Posts