Mkuu wa Wilaya Tabora Eng Deusdedith awataka Wananchi kuupokea Mwenge

Mkuu wa wilaya Tabora Eng Deusdedith katwale amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kuupokea mwenge wa uhuru wilayani humo tarehe 20.08.2024.

Katwale amesema kama wilaya wamejiandaa vizuru kupokea Mwenge wa uhuru huku akisema Mwenge umekuja ili wanatabora wafurahie yale mema yanayofanywa na Rais wa awamu ya Sita kwa kutoa pesa nyingi katika miradi ambayo baadhi yake itazinduliwa na mwenge huo.

Katika kusherehesha siku iyo Mh katwale amesema wameaandaa burudani kutoka kwa wasanìi wasanii mbalimbali akiwemo Magambo Mchimu, Meja Kunta, Dj Ally bi na wengine wengi

Related Posts