Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura Agosti 20,2024 amekutana na Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Halima Dendego wakati alipomtembelea ofisini kwake na kujadiliana masuala mbalimbali kuhusiana na hali ya usalama mkoani humo.