Rais Samia atoa vyeti kwa wahitimu 720 wa Mafunzo ya Ujasiriamali kupitia tamasha la kizimkazi 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan leo August 20,2024 ametoa Vyeti kwa Wahitimu 720 wa mafunzo mbalimbali ya kujikwamua kiuchumi wakiwemo Wakulima, Wafugaji,Wavuvi, Watalii, Wasanii na Wajasiriamali ikiwa ni sehemu ya matunda ya Tamasha la Kizimkazi 2024 linaloendelea Visiwani Zanzibar.

.
.
.
.
.
.
.

 

Related Posts