Kukatika kwa muunganiko wa mawasiliano ya Telegram, WhatsApp kulikumba nchini Urusi

Huduma za kutuma ujumbe Telegram na WhatsApp zilikumbwa na matatizo makubwa nchini Urusi siku ya Jumatano, mdhibiti rasmi wa vyombo vya habari nchini humo Roskomnadzor alisema.

“Mnamo Agosti 21, kuanzia saa 2 usiku, Kituo cha Ufuatiliaji na Udhibiti cha Mtandao wa Mawasiliano ya Umma kilirekodi usumbufu mkubwa katika uendeshaji wa messenger Telegram na WhatsApp,” ilisema katika taarifa.

Related Posts