TMA YATOA ANGALIZO HUENDA MAENEO HAYA KUATHIKA NA UPEPO MKALI – MWANAHARAKATI MZALENDO

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania yatoa angalizo juu ya ‘upepo mkali unaofikia kilometa 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayofikia mita 2 limetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wote wa pwani ya bahari ya Hindi (Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba).

Uwezekano wa kutokea ; Wastani, Kiwango cha athari zinazoweza kutokes pia ni wastani. Athari zinaweza jitokeza; Kuathiri baadhi ya shughuli za kiuchumi, uvuvi na usafirishaji baharini. Zingatia, jiandae” Taarifa kutoka TMA

#KonceptTvUpdates

Image

Related Posts