Arusha. Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imezuia tamko la Serikali namba 673 la Agosti 2, 2024 la kufuta kata, vijiji na vitongoji, vikiwamo vya wilayani
Day: August 22, 2024
WAPENDWA wasomaji wetu, hii ni makala ya 100 katika safu hii ya Nionavyo. Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa hatua hii, maana kwa zaidi ya majuma 100
Rukwa. Wakulima mkoani Rukwa wameitaka Serikali kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA), kuharakisha kuwalipa malipo yao pindi wanapokwenda kuuza mazao yao ili
KIUNGO mpya wa Simba, Awesu Awesu ametoa msimamo baada ya kukiri alikuwa na ndoto za muda mrefu za kuichezea timu hiyo, lakini sasa ana kazi
Dar es Salaam. Mkoa wa Dar es Salaam umedaiwa kurekodi matukio mengi ya ukatili wa kijinsia kutokana na kesi walizopokea Shirika la Tanzania Women Initiatives
KIKOSI cha Fountain Gate kimeanza safari ya kutoka Lindi kuja jijini Dar es Salaam kwa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba utakaopigwa Jumapili,
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imewahukumu raia 32 wa Malawi kulipa faini ya Sh500,000 au kwenda jela miezi mitatu
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Jafo (Mb.) amesema Wizara yake kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji- Msajiri wa Hazina
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi wa Suluhu Sports