Mshindi Avuna Shilingi Milioni 20 Kwenye Kampeni ya “NI BALAA!” Kutoka Vodacom Tanzania – MWANAHARAKATI MZALENDO

Ni Balaa! Kila Mtu ni Mshindi! Mkuu wa Kanda ya Kaskazini wa Vodacom Tanzania Plc, George Venanty (kushoto),
akimkabidhi mfano wa hundi ya TZS 20,000,000/- mshindi wa kwanza wa kipengele kikuu wa droo ya kampeni ya ‘Ni Balaa!’, Bankason Yusuph wakati wa hafla ya kutoa zawadi kwa washindi mbalimbali,  iliyofanyika tarehe 16 Agosti 2024, jijini Arusha.
Kampeni hii inahamasisha wateja wa Vodacom kutumia M-Pesa katika kufanya malipo mbalimbali, kutuma miamala au kununua vifurushi ambapo wanajiweka katika nafasi ya kujishindia fedha taslimu kila siku, wiki, mwezi au kuibuka washindi wakuu. Bw. Yusuph  pia amepata fursa ya kuchagua shule ambayo Vodacom Tanzania wataisaidia kukarabati maktaba ili kuboresha elimu  ikiwa ni sehemu ya kuchangia maendeleo ya elimu nchini.

#KonceptTvUpdatesNo alt text provided for this image

Related Posts