https://p.dw.com/p/4jmRH
Shirika hilo limesema mbinu za kunyang’anya hati za usafiri, kufutilia mbali uraia, na kunyima huduma za kibalozi ni baadhi tu ya mbinu zinazotumiwa na serikali kunyamazisha sauti za wapinzani.
Soma pia:Kiongozi wa upinzani nchini Venezuela awahamasisha upinzani kuendelea kupambana
Ripoti hiyo inahusisha sehemu ya mahojiano ya watu 31 kutoka Belarus, India, Nicaragua, Rwanda na Saudi Arabia.