HUYU HAPA MTU MWENYE TATOO NYINGI ZAIDI  – MWANAHARAKATI MZALENDO

Mwanajeshi wa zamani wa jeshi la Marekani, Esperance Fuerzina, ametangazwa kuwa mwanamke mwenye Tatoo nyingi zaidi na kuingizwa kwenye kitabu cha rekodi za dunia za Guinness.

 

 

 

Imemchukua miaka 10 kuchora zaidi ya 99.98% ya mwili wake michoro mbalimbali na bado hajatosheka anataka kuendelea zaidi.

 

 

 

Tatoo zake huanzia kichwani hadi kwenye nyayo za miguu bila kusahau kope, mboni za macho, fizi na hata ulimi.

 

 

 

 

Esperance ambae kwasasa ana umri wa miaka 36, alijichora tattoo yake ya kwanza kwenye nyonga akiwa na umri wa miaka 21 na anajivunia kuwa na tatoo hizo.

 

Related Posts