Pesa yako ipo hapa na Meridianbet

 

Ikiwa hii ni wiki ya pili ya kurejea kwa ligi mbalimbali Duniani, Ijumaa ya leo kuna mechi kibao za kukupatia pesa kuaniza kule Ufaransa, Hispania na zingine kibao. Ingia Meridinabet na uanze kusuka jamvi lako sasa.

Tukianza kumulika ligi kuu ya Ufaransa, LIGUE 1 leo hii bingwa mtetezi PSG baada ya kushinda mchezo uliopita akiwa ugenini leo hii atakuwa nyumbani pale Parc des Princes majira ya saa 3:45 usiku kukiwasha dhidi ya Montpellier. Vijana wa Luis Enrique wanahitaji ushindi leo kuendelea kujikita kileleni, wakati wageni wao mechi yao ya kwanza walitoa sare.

Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 1.27 kwa 8.62, huku mara ya mwisho kukutana Paris aliondoka na ushindi. Je leo hii mgeni anaweza kulipa kisasi?. Beti na Meridianbet sasa.

Wiki nyingine ya kutusua na Meridianbet ndio hii, kuanzia Ijumaa ya leo mechi za moakoto zipo kibao. Cheza pia michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Huku kule LALIGA pia kutakuwa na michezo miwili ambapo mchezo wa mapema utakuwa ni huu wa Celta Vigo dhidi ya Valencia ambaye alipoteza mechi yake ya kwanza ya ligi. Ikumbukwe kuwa timu hizi mbili mara ya mwisho kukutana walitoshana nguvu.

Ukiingia kwenye akaunti ya mabingwa wa ubashiri Tanzania Meridianbet wanampendelea mwenyeji kuondoka na pointi tatu nyumbani wakimpa ODDS 2.16 kwa 3.47, na mgeni alipoteza mchezo wake wa kwanza. Je beti yako unaiweka wapi kwenye hii mechi?. Jisajili hapa.

Mechi ya pili pale Hispania itakuwa hii ya Sevilla vs Villarreal mchezo ambao utapigwa majira ya saa 4:30 usiku katika dimba la Sanchez Pizjuan ambapo hawa wote wametoka kutoa sare mechi zao za kwanza. Mechi hii imepewa ODDS 2.30 kwa 2.89

huku mwenyeji akitafuta kulipa kisasi baada ya kupoteza mchezo wa mwisho walipokutana. Bashiri sasa.

Vilevile ligi kuu ya Ujerumani, BUNDESLIGA itaanza kutimua vumbi leo ambapo bingwa mtetezi wa ligi hiyo Bayer Leverkusen atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Borussia Monchengladbach ambaye hapewi nafasi kushinda mechi hii akiwa na ODDS 5.09 kwa 1.55.  Borussia alimaliza nafasi ya 14 msimu uliopita na leo hii atafungua pazia la ligi dhidi ya bingwa wa ligi vijana wa Xabi Alonso. Je nani kuanza vyema ligi?. Jisajili sasa.

Pia Championship kule Uingereza leo kuna mechi moja ya kukupatia pesa Sheffield Wednesday atamkaribisha nyumbani Leeds United ambaye alilazimishwa sare mchezo uliopita. Mwenyeji alipoteza mchezo uliopita, lakini leo hii kapewa ODDS 4.31 kushinda mechi hii kwa 1.81. Mara ya mwisho kukutana Leeds waliibuka vinara. Leo wataendeleza moto mbele ya Sheffield?. Suka jamvi lako hapa.

Unaweza ukapiga mkwanja na mechi za ligi kuu ya Uturuki pia, SUPER LIG ambapo leo hii utapigwa mchezo mmoja Alanyaspor ataumana vikali dhidi ya Goztepe ambao walipambana wakatoa sare mchezo uliopita. Mwenyeji yeye alipoteza mechi yake iliyopita. Mechi hii ina ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Bashiri sasa.

Ndugu mteja unaweza ukabashiri mechi ya Ureno pia PRIMEIRA LIGA huku Ijumaa ya leo kutakuwa na mtanange mmoja kati Sporting CP ambaye atakuwa mgeni wa Farense majira ya 4:15 usiku. Mwenyeji kwenye mechi mbili za mwanzo amepoteza zote huku Sporting akishinda zote mbili akiwa kinara wa ligi. Beti mechi hii sasa.

About The Author

Related Posts