Naibu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma Janeth Haule akizungumza kwenye mafunzo ya wahabari mjini Songea kuhusu madhara ya rushwa kwenye uchaguzi,kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa Novemba 27 mwaka huu,mafunzo hayo ya siku moja yamefanyika kwenye ukumbi wa TAKUKURU Mahenge Manispaa ya SongeaAfisa wa TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma Yahaya Mwinyi akitoa mada ya nafasi ya wanahabri katika mapambano ya rushwa kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.Baadhi ya wanahabari mjini Songea wakiwa kwenye mafunzo ya madhara ya rushwa kwenye uchaguzi yaliyoratibiwa na TAKUKURU Ruvuma