Asas yang’ara Zanzibar, maonesho ya Tamasha la Kizimkazi

Ni Agosti 24, 2024 ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alihudhuria hafla ya uzinduzi wa Utalii wa Kasa katika Pango la Salaam (Salaam-Cave)Kizimkazi Dimbani Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar .

 

Aidha pia alitembelea na kukagua mabandq ya biashara Dimbani Kizimkazi leo likiwemo banda la ASAS ambapo pichani akipokea maelezo ya bidhaa yetu mpya ya maziwa ya unga kutoka kwa Mkurubgenzi Ahmed Asas kwenye Maonyesho ya Tamasha la Kizimkazi leo August 24,2024.

 

Related Posts