Cheza sloti ya Piggy Party, shinda mamilioni

 

Umewahi kuona Nguruwe akisakata Rhumba au Mbweha akiyakata huku akinywa bia, hahahah basi haya yote unayapata kwenye mchezo wa Piggy Party kutoka kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Sloti hii ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet imetengenezwa na Expanse Studio ikiwa na dhumuni la kutoa burudani kwa wachezaji huku wakijipatia mihela kila dakika wanayocheza mchezo huu wa kasino ya mtandaoni.

Furahia maajabu ya mbweha na watoto wa nguruwe ukiwa unacheza kasino ya mtandaoni ukibonyeza hapa. Sloti hii imenogeshwa kwa sauti bomba na rundo la mizunguko ya bure ambayo itakuvutia sana kuingia katika ulimwengu huu mzuri. Ubora na utamu wa kucheza kasino ya mtandaoni ya Meridianbet umesogezwa mpaka kiganjani mwako.

Mchezo huu wa Piggy Party unakupa mistari 11 ya malipo ikilipa kulia na kushoto. Cha ziada ni kwamba kuna ile mizunguko ya kawaida ya bure lakini pia hii kasino ya mtandaoni inakupa ofa maalum ya kitufe cha Welcome Drink, ni sehemu ya jiko linalofurahisha sana likiwa limeongezewa vionjo vya muziki hii sio ya kukosa.

Kitu cha pekee kinachofanya mchezo huu wa kasino ya mtandaoni kuvutia wengi wengi ni alama ya jokeri ikiwa na uwezo wa kubadilisha mchezo na kutoa ushindi mkubwa, hapa utakutana na Mbweha anachekela pamoja na Nguruwe mwenye madoido mengi ambao wote hawa wanakupa ushindi kwa njia ya scatter.

Kitufe cha Welcome Drink kinakuja pale ambapo alama mbili za scatter zinafungua mlolongo wa malipo na kutoa mizunguko inayojirudia rudia wakati ukifurahia kasino ya mtandaoni.

Alama ya jokeri inafanya kazi kama sehemu ya kugandihsa mizunguko husika unaokuwepo. Alama tatu za scatter inakupa mizunguko kumi, nne zinakupa kumi na tano, na tano zinakupa bonasi kubwa zaidi ambayo ni MIZUNGUKO 20 YA BURE!

Kikubwa Zaidi ni kwamba gemu hii ya Piggy party itakupa nafasi ya kuongeza ushindi wako, kwa kubonyeza alama ya Gamble/kubashiri ambapo utabashiri rangi za kadi zitakazotokea kama ni nyekundu au nyeusi ukipatia ushindi wako unazidishwa mara 2 zaidi, huku uhakika wa ushindi upo kwa 95.06%

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

About The Author

Related Posts