Rais wa Yanga, Eng Hers Said apokea Sh.Mil 30 kama zawadi ya Goli la Mama

Rais wa Yanga, Eng Hers Said, akionyesha kiasi cha Sh milioni 30 alizokabidhiwa ma Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, kama zawadi ya Goli la Mama, Rais Samia Suluhu Hassan, baada ya timu hiyo kushinda bao 6-0 dhidi ya Vitalo’O FC ya Burundi kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

 

 

#GoliLaMama

Related Posts