Mchakamchaka wa mwenezi Makalla aanza na uzinduzi wa shina la wakereketwa la wavuvi beach Mji Mwema

Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo CPA Amos Makalla amefungua shina la Wakereketwa la Wavuvi Beach Mji Mwema Kigamboni.

CPA Makalla akifungua shina la Wakereketwa amesema “nawapongeza sana Viongozi wa Chama kwa kunileta hapa kufungua Shina hili la wakereketwa kwani Chama Cha Mapinduzi nguvu yake kubwa ipo kwenye mashina kama ilivyo kwenye jumuiya zake kama vile Vijana ambao ndio wanaleta Hamasa nanyi watu wa Shina Uchaguzi huu ni mtatumika kukiombea kura Chama Cha Mapinduzi kwani tumelifungua wakati muafaka lakini nitawachangia Milioni Moja kwa ajili ya kuendeleza Shina”.

Related Posts