RAIS SAMIA AUNGA MKONO ODINGA KUWANIA UENYEKITI AU – MWANAHARAKATI MZALENDO

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Raila Amolo Odinga, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Kenya anayewania nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU) ikiwa ni mualiko kutoka kwa Rais wa nchi hiyo Dkt. William Samoei Ruto, Ikulu ya Nairobi, tarehe 27 Agosti, 2024.

#KonceptTvUpdatesInaweza kuwa picha ya maandishiInaweza kuwa picha ya Watu 7, jukwaa na maandishi

Related Posts