Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan akizungumza na Washiriki wa Kikao Kazi Cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma wakati wa ufunguzi wa Kikao hicho ukumbi wa Mikutano AICC Arusha leo August 28,2024.
Fuatilia mitandao yetu ya kijamii
Instagram: @mamakajatz
Twitter @mamakajatz
Facebook: Mamakajatz
YouTube: Mama kaja tz
#Mamakaja