Mganga wa kienyeji atuhumiwa kwa mauaji ya watu Singida, Dodoma

Jeshi la Polisi nchini limefanikiwa kupata miili ya watu 10 baada ya kufanya uchunguzi wa kina kwa kushirikiana na mtuhumiwa wa matukio ya mauji, Nkamba Kasubi ambaye ni mganga wa kienyeji mkoani Singida.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na jeshi hilo leo Agosti 28,2024, Kati ya miili hiyo, mitatu ilipatikana mkoani Singida na saba mkoani Dodoma na wengine walizikwa kwa kukalishwa kwenye shimo ikidaiwa ni kutokana na imani za kishirikina.

Related Posts