Picha: Rais Samia afungua kikao kazi cha wenyeviti wa Bodi na watendaji huko Mkoani Arusha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afungua Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) tarehe 28 Agosti, 2024.

The post Picha: Rais Samia afungua kikao kazi cha wenyeviti wa Bodi na watendaji huko Mkoani Arusha first appeared on Millard Ayo.

Related Posts