UWANJA WA AMAAN COMPLEX HAUJAKIDHI VIWANGO VYA CAF – MWANAHARAKATI MZALENDO

 

 

CAF wazuia uwanja wa Amaan Complex kutumika kwenye mchezo wa Yanga sc wa klabu bingwa barani Afrika.

 

 

“Moja kati ya vigezo vya uwanja sio tu sehemu ya kuchezea au ubora ila ni pamoja na umbali wa viti kutoka kimoja hadi kingine, kwa uwanja wa Amaan umekosa ivyo vigezo

 

 

Uwanja kama wa Azam Complex unakidhi vigezo kutokana na umbali wa viti ambao kwa vigezo vya CAF wanataka kuanzia sentimita 45………Azam walilazimika kupunguza idadi ya namba ya mashabiki kutoka elfu 6 hadi elfu 4 ili kukidhi vigezo vya CAF” amesema Mchambuzi wa Soka, Geoff Lea.

 

 

 

Credit : Crown Media

Related Posts