WHO Mwakilishi wa Maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu (OPT), Dk. Rik Peeperkorn, alisema kuwa kampeni ya chanjo ya raundi mbili inatakiwa kuanza Jumapili hii
Day: August 30, 2024
Mgogoro wa Kibinadamu Huku Mafuriko, Mvua Kubwa ya Muda Mrefu Yaathiri Chad – Masuala ya Ulimwenguni
Naibu Katibu Mkuu Amina Mohammed akutana na Fatime Boukar Kossei, Waziri wa Hatua za Kijamii, Mshikamano wa Kitaifa na Masuala ya Kibinadamu wa Jamhuri ya
Dar es Salaam. Baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii ya X, Facebook na Instagram wamesimulia namna wanavyopitia kadhia ya majaribio ya kutapeliwa na watu
Musoma. Baraza la madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Vijijini limeunda kamati ya watu wanne kwa ajili ya kufuatilia na kufanya tathmini ya idadi
Dodoma. Bunge limepitisha muswada wa sheria zinazohusu ulinzi wa mtoto, ikiwamo adhabu ya kulipa fidia kwa waathirika, kuanzisha mabaraza ya watoto na mahakama zao kila
Dar es Salaam. Mahakama Kuu, Masjala ya Dar es Salaam, imepanga Septemba 18, 2024 kuanza kusikiliza kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na George Mzigowandevu na wenzake
AMIDI Shule kuu ya uandishi wa habari na mawasiliano kwa umma, Dkt. Mona Mwakalinga amesema sababu inayopelekea kushindwa kufanyika habari za uchunguzi nchini ni uoga
Moshi. Mkutano Mkuu wa 38 wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) umemrudisha Askofu Fredrick Shoo kuwa mkuu wa dayosisi
Ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa Mradi wa Elimu ya juu kwa Mageuzi ya kiuchumi “HEET Project” leo Agosti 30,2024 Chuo Kikuu Mzumbe kimeendika historia
Dodoma. Mashahidi sita wa upande wa Jamhuri wameshatoa ushahidi katika kesi ya ubakaji na kumwingilia kinyume cha maumbile binti, mkazi wa Yombo Dovya, Dar es