Picha: Muleba Festival kutokea Mkoani Kagera

Huu ni muendelezo wa report za Muleba Festival kutokea hapa Mkoani Kagera,na hii ni video ikiwaonyesha wasanii wengine kutoka Dar Es Salaam akiwemo Dullah Makabila,Chino wanaman,Missomisondo yaaani wazee wa Makoti na mkongwe Juma Nature ambao wamewasili Mkoani Kagera na kupitishwa katika viunga vya manispaa ya Bukoba ambapo wameshare love na mashabiki zao wa maeneo hayo huku wakitarajia kuungana na Msanii kutoka record Lebal ya WCB Mbosso ambaye tayari amewasili

Haya yote ni mpango mzima wa kuelekea kwenye show kubwa ya Muleba Festival itakayofanyika kesho August 31 siku ya Jumamos katika viwanja vya Zimbihile vilivyopo Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera chini ya waandaaji Magical Lounge na Ayo Tv tupo hapa kuzidi kukupa updates zaidi ya matukio yanayoendelea

 

Related Posts