© UNRWA Wananchi wengi wa Gaza wanaishi katika makazi ya muda kutokana na mzozo huo. Alhamisi, Agosti 29, 2024 Habari za Umoja wa Mataifa Baraza
Month: August 2024
Dar es Salaam. Wanazuoni wa uandishi wa habari wamejadili changamoto zinazokwamisha utekelezaji wa uandishi wa habari za uchunguzi, wakitaja mambo mawili kama kikwazo. Wamesema uandishi
Benki ya NMB leo imesaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) ya kushirikiana na Shirika la Korea Kusini linalojihusisha na kufadhili miradi katika sekta ya ujenzi la
PAMOJA na ukimya uliotawala kwa Mbeya City, lakini benchi la ufundi limesema kimya hicho ni cha kishindo, huku likitambia kambi waliyopo ya Mwakaleli, iliyopo mji
Dodoma. Mbunge wa Viti Maalumu, Esther Matiko ameomba mwongozo wa Spika akitaka makandarasi wa ndani kulipwa kwa wakati au kulipwa riba pale malipo yao yanapochelewa
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu Raia wa Marekani, Brandon Dashaurn Summerlin kutumikia kifungo cha miaka 30 gerezani baada ya
Hatma ya uhalali wa rufaa ya klabu ya Yanga, sasa itajulikana Septemba 9, mwaka huu wakati Mahakama Kuu, Masjala ya Dar es Salaam, itakapotoa uamuzi
Wananchi wa Kijiji cha Tangeni Kata ya Mzumbe Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero wameahidi kulinda na kulihifadhi Bwawa la Mindu linalotegemewa na wakazi wa Manispaa
Dar es salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu raia wa Marekani Brandon Summerlin(32) kwenda jela miaka 3, baada ya kupatikana na hatia ya kusafirisha
Na. Chedaiwe Msuya, WF, Dodoma Serikali imeeleza kuwa katika bajeti ya mwaka 2023/24, ilitenga jumla ya shilingi bilioni 600 kwa ajili ya kulipa madeni ya