Dar es Salaam. Wadau takribani 15 wa sekta ya hoteli nchini wametakiwa kukabiliana na usafirishaji haramu wa binadamu kwa kutambua viashiria na kutoa taarifa kwenye
Month: August 2024
Wanafunzi pamoja na Wahadhiri kutoka Chuo kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), MWECAU pamoja na UDSM wamejengewa uwezo wa kufanya tafiti za kutambua viumbe hai
Kampuni ya TOL Gases PLC, Leo mapema imefanikiwa kufanya Mkutano mkuu wa Wanahisa 2024 uliolenga kutazama mikakati ya kuikuza zaidi kampuni hio ili kufikia ufanisi
Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dk. Samia Suluhu Hassan, ametunuku Nishani ya miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) leo Agosti
Rukwa. Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) anatarajia kununua tani 100,000 za mahindi kwa wakulima mkoani Rukwa kupitia mfumo maalumu wa kidigitali. Sambamba
Dar es Salaam. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) wilayani Kinondoni mkoani hapa imewaonya maofisa ustawi wa jamii kujiepusha na tabia ya kula
Na Mwandishi Wetu WATU 6,597 miongoni mwao wakiwemo wajasiriamali 97 katika wilaya tano za Karatu, Ngorongoro- Loliondo, Monduli, Longido na Arusha DC wamepatiwa elimu na
Sajenti wa polisi Asha Abdul kutoka makao makuu ya kikosi cha Usalama barabarani makao makuu Dar es Salaam Dawati la elimu kwa umma akitoa
Dodoma. Bunge limepitisha muswada wa marekebisho ya sheria za hifadhi ya jamii wa mwaka 2024, ambapo sasa mwanachama wa mfuko atalipwa mafao bila kujali kama
Shinyanga. Viungo vinavyodhaniwa kuwa vya mwanafunzi wa darasa la kwanza Shule ya Msingi Tinde B mkoani Shinyanga, Junior Maganga (7) vimeonekana wilayani humo, baada mtoto