Pamoja na mambo mengine ripoti hiyo imeonesha kuwepo kwa ukiukwaji mkubwa wa haki za kazi, asilimia 51 ya watu wakiripoti kunyimwa fursa ya kufanya kazi,
Month: August 2024
Simiyu. Zikiwa zimepita siku nane tangu wakazi wa Mji Mdogo wa Lamadi Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, wafanye maandamano ya kupinga ukimya wa Jeshi la Polisi kushughulikia
KITENDO cha nyota wa Tanzania Prisons, Jeremiah Juma na Samson Mbangula kurejea kikosini, kumemfanya Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mbwana Makatta kupata hali ya kujiamini
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesisitiza kuwa ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa miguu wa Arusha utakamilika kwa wakati kama
Dar es Salaam. Chama cha Mapinduzi (CCM), kimeiagiza Manispaa ya Temeke kusimamia ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Temeke iliyopo Mbagala Rangi Tatu ukamilike kwa
LEO ni siku nyingine ya kuweza kushinda na kutengeneza pesa ndefu kupitia kwa mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet, Kwani leo itapigwa michezo
Dar es Salaam. Ili kukamilisha ujenzi wa nyumba kwa wakati, Watanzania wametakiwa kubadilika na kuanza kuchangamkia fursa za mikopo ya nyumba. Mbali ya ujenzi, pia
Na Mwamvua Mwinyi MKUU wa Wilaya ya Mafia, Aziza Mangosongo, ametoa wito kwa Halmashauri ya Wilaya hiyo kuharakisha mchakato wa kuhamia ofisi mpya zilizopo katika
Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha JUMUIYA ya Wanawake (UWT)Kibaha Mjini, Mkoani Pwani, imetoa wito kwa wanawake kuunga mkono jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan katika kuleta maendeleo
PLANET imeonyesha ubabe kwa kuifunga timu ngumu ya Eagles kwa pointi 62-59 katika Ligi ya Kikapu Mkoa wa Mwanza iliyofanyika kwenye Uwanja wa Mirongo, jijini