Benki ya NMB imekuwa mdau mkubwa kwa serikali katika kuchangia huduma za kimaendeleo hasa katika sekta ya elimu, afya na majanga yanapojitokeza ikiwemo kutoa vifaatiba,
Month: August 2024
Ethiopia imeelezea wasiwasi huo baada ya Misri ambayo kwa muda mrefu imekuwa katika msuguano na nchi hiyo kutuma vifaa vya kijeshi nchini Somalia katika hatua
Na. Saidina Msangi, na Josephine Majula, WF, Dodoma. Serikali imeeleza kuwa kwa kutambua umuhimu wa suala la ulinzi na usalama wa nchi imekuwa ikitoa
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed ameyataja mashirika yasiyo ya kiserikali kuwa na mchango mkubwa katika maendeleo katika ngazi ya Mkoa,
Kilombero. Diwani wa kata ya Mbingu iliyopo Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro, Nestory Peter na wenzake 10 wamefikishwa mahakamani kujibu tuhuma zinazowakabili za kuingia na
Na: Calvin Gwabara – Morogoro.29/08/2024 Mradi wa Utafiti wa kuongeza matumizi ya taarifa za bioanuai kwa uhifadhi endelevu na kipato kwenye Milima ya Tao
JOHN Bocco staa wa zamani wa Simba, juzi alishuka uwanjani kwa mara ya kwanza msimu huu ikiwa ni wa 17 kwake tangu 2008 akiwa na
Na Munir Shemweta, WANMM Katibu Mkuu wzara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga amekakagua eneo la Mradi wa Samia Arusha AFCON City
Taa za vivuko (Traffic lights) hutumika sehemu za makutano ya barabara kwa ajili ya kuviongoza vyombo vya moto pamoja na watumiaji wengine wa barabara lakini
Msaanii Mbosso kutokea katika record lebal ya WCB amewasilia katika viunga vya manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera na kupitishwa katika maeneo tofauti tofauti ya Manispaa