Na Albano Midelo Vituo 43 vinavyotoa huduma za tohara katika Mkoa wa Ruvuma vitakabidhiwa vishikwambi 84 vyenye thamani ya shilingi milioni 39 vilivyotolewa na Taasisi
Month: August 2024
Songwe. Kijana aliyefahamika kwa jina la Daniel Siyame (23) mkazi wa Mtaa wa Ilolo wilayani Mbozi amekutwa amefariki dunia kwenye kisima cha maji. Tukio hilo
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv MWALIMU wa shule ya sekondari ya Kings iliyopo Goba jijini Dar es Salaam Yusuph Mirambi (43), amehukumiwa kutumikia kifungo
Dar es Salaam. Wizara ya Afya imesema imejipanga kuudhibiti ugonjwa wa homa ya nyani (Mpox) endapo utaingia nchini. Kauli ya wizara inatokana na taarifa zinazoeleza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa Hospitali ya Wilaya ya Gairo Mkoani Morogoro pamoja na wananchi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema kwa kipindi cha miaka 3 ya Serikali ya
Kaliua. Wananchi wamepatwa na taharuki baada ya uwepo wa makaburi mawili kubwa na dogo ambayo hayakuwa na watu bali yakiwa yamezikwa vitambaa vyeupe. Tukio hilo
Na Mwandishi Wetu KOCHA wa timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 19 ya mchezo wa kriketi, Salum Jumbe, amesema wamejiandaa vizuri kuhakikisha wanafanya
Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa maagizo matano kwa Wizara
Na Mwandishi Wetu, Arusha Mtanzania Ashok Mittal (17), anayesoma elimu ya juu Dubai katika falme za nchi za Kiarabu (UAE), ameanzisha mashindano ya mpira wa