Dar es Salaam. Shirika la Reli Tanzania (TRC) limewaomba radhi abiria waliosafiri kutoka Dodoma kwenda Dar es Salaam na treni ya kisasa (SGR) jana Alhamisi,
Month: August 2024
Na Mwandishi Wetu,Tunduru KATI ya vijana 240 walioteuliwa na Serikali kupitia Halmashauri ya wilaya Tunduru mkoani Ruvuma mwaka 2024 kwenda kujiunga na chuo cha Ufundi
UTAAMUA unachotaka katika maisha. Na wakati mwingine ukitaka kumuua nyani usimtazame sana usoni. Rafiki yetu Mfaransa Moussa Diaby ameamua kutomuangalia sana nyani usoni. Katika mfano
Serikali inatarajia kuboresha huduma za afya na kupunguza changamoto zinazokabili jamii. Kufuatia kuzinduliwa kwa Hospitali ya Wilaya ya Gairo mapema tarehe 2 Agosti 2024 na
Unguja. Ukaguzi uliofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi wa Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), umebaini dosari katika ujenzi wa hospitali 10 za wilaya na moja
NCHI nane zimeliamsha jijini Dar es Salaam katika mashindano ya Kriketi ya kuwania kufuzu Kombe la Dunia kwa vijana wenye umri wa chini ya miaka
Meja General Charles Mang’era Mbuge leo ameagwa rasmi Jeshini baada ya kulitumikia Jeshi kwa zaidi ya miaka 38 amragwa kwa kukagua gwaride rasmi la Kijeshi
Na Mwandishi wetu Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ameanza ziara ya kikazi mkoani Morogoro leo Agosti 02,2024, ambapo amezindua Hospitali ya Wilaya ya Gairo. Pamoja
Dar es Salaam. Pengine kila anayeonekana na mafanikio leo, zipo nyakati ngumu alizopitia jana ambazo kama si kuvaa kibwebwe asingeupata umaarufu alionao. Katika hili, Waziri