Mbunge wa Jimbo la Mlimba Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro Godwin Kunambi ameishauri serikali ya Wilaya hiyo kutoa ajira za mikataba ya muda Kwa wafanyakazi
Month: August 2024
Katika mkakati wa kuunga mkono juhudi za Serikali kuhakikisha nchi inakua na utoshelevu wa bidhaa ya Sukari, Kiwanda cha cha Sukari Kilombero kipo mbioni kukamilisha
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza na Naibu Balozi wa Norway nchini Tanzania Mhe. Kjetil
Mbeya. Mwandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi mkoani Mbeya, Hawa Mathias ameibuka mshindi wa tuzo ya umahiri wa uandishi wa habari za ‘Tulia Trust
Moto wararua vikali maduka ya watengeneza samani (furnitures) ikiwemo masofa na vitanda mapema asubuhi ya leo Aug 02,2024 katika eneo la Kata ya Bwilingu, Halmashauri
Dar es Salaam. Wanywaji wa bia nchini Tanzania, leo Ijumaa Agosti 2, 2024 wanaungana na wenzao duniani kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Bia inayolenga kuwaleta
Bwana la Mindu lililopo Manispaa ya Morogoro linategemewa kwa zaidi ya asilimia 70 ya wakazi wa Morogoro katika upatikanaji wa huduma ya maji safi kwa
Songea. Kukiukwa kwa utaratibu wa kurekodi mwenendo wa shauri kwa kuandika maswali na majibu badala ya simulizi ya ushahidi, umewabeba makatekista wawili wa Jimbo Kuu
Simba SC imemtambulisha golikipa Mguinea, Moussa Camara akitokea Horoya AC atayeziba pengo la Ayoub Lakred amabaye amepata majeraha yatakayomweka benchi kwa muda mrefu kidogo. Moussa
Dar es Salaam. Ikiwa imebaki takribani miezi miwili kufanyika mtihani wa kumaliza elimu ya msingi (PSLE), wanafunzi wa darasa la saba mkoani Dar es Salaam