Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan azungumza na Wananchi wa Ngerengere na Morogoro Mjini akiwa njiani kuelekea Mkoani Dodoma kwa Usafiri wa Treni ya Kisasa
Month: August 2024
Dodoma. Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Haroad Sungusia amemwomba Naibu Waziri Mkuu, Dk Doto Biteko kusema neno kuhusu baadhi ya mawakili kunyanyaswa na
Dar es Salaam. Ingawa kuimarika kwa huduma za treni ya umeme nchini Tanzania ni furaha kwa abiria, kwa upande wa wamiliki wa mabasi ni maumivu,
*Yaahidi kukuza viongozi wa baadaye kupitia mpango huo wa mafunzo. *Programu imebadilika kuwa ya miezi 12 kwa mafunzo maalum. Asilimia 93 ya uhifadhi, kuimarisha uongozi
WAKATI Simba Queens ikiwa kambini Bunju jijini Dar es Salaam kujiandaa na michuano ya Klabu Bingwa kwa Nchi za Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) kwa
Tanzania inapoelekea kuadhimisha miaka 25 tangu kufariki kwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Vodacom Tanzania na Klabu ya Baiskeli ya Twende Butiama wametangaza kufunguliwa rasmi kwa
Dar es Salaam. Ikiwa zimesalia siku 30 kabla ya kufungwa kwa dirisha la uombaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu nchini Tanzania, makosa kadhaa
Maelfu wamejitokeza kuhudhuria mazishi ya kiongozi wa kisiasa wa Hamas, Ismail Haniyeh, nchini Iran ambaye aliuawa katika shambulizi mjini Tehran siku ya Jumatano. Kiongozi Mkuu
Klabu ya Azam FC nayo imekataa ukimya kwa kuamua kutambulisha jezi zao mpya za kutumika takiaka msimu wa soka 2024/25. Wanalambalamba hao, matajiri wa viunga
Teknolojia ya mtandao wa kidijitali ni miongoni mwa mambo ambayo yameshika kasi wakati huu, ikitajwa kuwa kiungo muhimu cha kuongeza tija katika shughuli mbalimbali za