Watu 70 sabini wamejeruhiwa baada ya mabehewa sita ya treni ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuacha njia ikitokea Kigoma kuja Dar es
Month: August 2024

Mkuu wa IAEA, Rafael Grossi ametembelea kinu cha nyuklia cha Kurskjana Jumanne na kuonya juu ya kitisho cha ajali inayoweza kutokea kwenye kinu hicho. Amesema,

Moshi. Wananchi wa Kijiji cha Korini Kusini, kata ya Mbokomu Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, wamelalamikia kero ya upatikanaji wa maji safi na salama. Wamesema

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema mwezi Oktoba mwaka huu kutakuwa na maonesho ya magari yatakayovunja rekodi ya Guiness iliyowekwa

Waziri mkuu wa Uingereza Keir Starmer yuko mjini Berlin ambako atakuwa na mazungumzo na viongozi wa Ujerumani kujadili makubaliano ya kihistoria ya kiuchumi na ulinzi.

Dar es Salaam. Msajili wa Hazina wa Tanzania, Nehemia Mchechu amesema wako katika hatua za mwisho kuandaa programu maalumu kwa ajili ya watendaji wakuu wa

Spika wa bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson amekemea tabia ya baadhi ya viongozi wakiwemo wakuu wa wilaya na mikoa wanaotumia nguvu na mamlaka kukamata

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amemtaja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kama

Maafisa wa afya wa Palestina wanasema vikosi vya Israel vimewaua Wapalestina tisa katika uvamizi kwenye Ukingo wa Magharibi, wakati jeshi likionekana kuanzisha operesheni kwenye miji

Geita. Mkazi wa Kijiji cha Kibanga Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita, Bujukano Lusana (75) amefikishwa Mahakama Kuu Kanda ya Geita akishtakiwa kwa kosa la kumuua