Rais Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo makali kwa Waziri wa Fedha na Mawaziri wote kuhakikisha kuwa fedha zinazoingizwa katika sekta zao zinatumika kuondosha kero za
Month: August 2024
SIMBA ilipambana sana kuisaka saini ya winga machachari wa AS Vita, Elie Mpanzu lakini kuna wakati jitihada huwa hazizai matunda na ndicho kimetokea kwao. Walifanikiwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Agosti 01, 2024 anafungua maonesho ya Kimataifa ya Wakulima ya Nanenane ambayo kitaifa yanafanyika kwenye viwanja vya Nanenane Nzuguni Jijini
Mapema siku ya Alkhamis (Agosti 1), Ayatullah Ali Khamenei aliongoza sala ya jeneza mjini Tehran, kabla ya maiti ya Haniyeh kupelekwa nchini Qatar kwa maziko
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Daniel Sillo amesema Serikali iko mbioni kufunga mitambo ya Kamera za uchunguzi takribani 6500 kwa kuanzia
WANAWAKE wanaojifungua katika Hospitali ya Mkoa wa Morogoro, wameishukuru Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuongea idadi ya hospitali na vituo vya afya
Hukumu hiyo ya mahakama inafuatia uamuzi wa rais Ruto mwezi uliopita wa kuufutilia mbali muswada tata wa fedha wa 2024 ambao ulichochea maandamano makubwa ambayo
Kituo cha uwekezaji nchini TIC, na Mamlaka ya usimamizi wa mbolea TFRA pamoja na shirika la maendeleo la nishati ya gesi na mafuta TPDC zimesaini
Wakulima wa miwa katika Bonde la Mto Kilombero mkoani Morogoro wamekanusha taarifa zilizotolewa na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM) na baadhi watu waliodanganya
Naibu Waziri Mkuu wa Tanzania, Dotto Biteko, ametoa wito kwa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kuchagua viongozi watakaolinda mshikamano wa chama hicho. Aliwasihi wanasheria