Caracas, Venezuela – Rais Nicolás Maduro amekataa madai kwamba uchaguzi wa hivi karibuni nchini Venezuela haukuwa wa kidemokrasia, akisisitiza kuwa chama chake kiko tayari kuwasilisha
Month: August 2024
TANESCO inaendelea na utekelezaji wa mradi wa usambazaji umeme kwenye kisiwa cha chole kilichopo Wilayani Mafia Mkoani Pwani. Mradi huu unahusisha kuvusha umeme kupitia baharini
Manchester United yaingia kwenye changamoto baada ya beki wao mpya, Leny Yoro, aliyenunuliwa kwa Pauni milioni 59 (takriban Tsh. bilioni 204), kupata jeraha litakalomuweka nje
Profesa Anna Kajumlo Tibaijuka, aliyewahi kuwa Waziri wa Ardhi, ameweka wazi msimamo wake kuhusu ujenzi wa kituo cha mabasi katika bonde la maji Jangwani. Akizungumza
SIKU hazigandi. Kama utani umefikia muda wa Simba kuadhimisha siku yao. Ndio, Wazee wa Kimataifa, Simba wanajiandaa kuadhimisha siku maalumu kwa klabu hiyo maarufu kama
Waliorejea wameelekea katika maeneo kadhaa mjini humo, vikiwemo vitongoji vya kati na mashariki pamoja na eneo la karibu la Bani Suhaila. Uhamisho wa matibabu Kwa
Dar es Salaam. Historia inaandikwa leo . Hivyo ndivyo inavyoelezwa na kila aliyehudhuria uzinduzi rasmi safari za treni ya umeme (SGR) kutoka Dar es Salaam
MSEMAJI wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amemaliza utata juu ya msanii wa muziki wa Singeli, Dulla Makabila kuhusu kutumbuiza katika Tamasha la Simba Day,
Hezbollah imethibitisha kifo cha mmoja wa makamanda wake wakuu wa kijeshi, Fuad Shukr, aliyefariki katika shambulio la anga la Israel huko Beirut, mji mkuu wa
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania August 1, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post