Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameunda Tume ya Rais ya Kutathmini na Kushauri kuhusu Masuala ya Kodi na kumteua Balozi Ombeni Yohana Sefue,
Month: August 2024
Watu wengi wanaokumbana na matatizo kwenye Automatic gearbox huishia kubadili ‘gearbox’ zao. Mfano wa matatizo hayo ni ‘gearbox’ inagoma kupokea gia au inachelewa kubadili, injini
Takribani wiki mbili zilizopita, kwenye mahojiano na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), tajiri mkubwa barani Afrika, Aliko Dangote, alikaribia kulia akizungumzia hali ngumu ya
Polisi wa Merseyside wameeleza zaidi kuhusu tukio la kusikitisha lililotokea mapema wiki hii ambapo kijana wa miaka 17 alishtakiwa kwa mauaji ya wasichana watatu katika
Baraza hilo halikutoa tamko la pamoja ispokuwa kutaja kuwa eneo hilo liko katika hatari ya kushuhudia vita vya kikanda na kuzitaka pande zote kujizuia na
Ripoti ya Watoto na Migogoro ya Silaha nchini Sudan, iliyotolewa Jumanne, ilirekodi ukiukwaji mkubwa wa 2,168 dhidi ya watoto 1,913 mwaka wa 2022 na 2023
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO AGOSTI 1,2024 Featured • Magazeti About the author
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam August 1, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti
“Katibu Mkuu anaamini kwamba mashambulizi ambayo tumeyaona huko Beirut Kusini na Tehran inawakilisha ongezeko la hatari wakati ambapo juhudi zote zinapaswa kupelekea kusitishwa kwa mapigano